"Sisi majority abao ni vijana tunaweza tukakata huo mrija tukapata viongozi ambao ni real simu anapokea akikuta missed call yako anakupigia. Tunaacha viongozi wengi kwa sababu hawana fedha , tunawaacha viongozi wengi kwa sababu ya mionekano yao, tunawwacha viongozi wengi tunawanyima nafasi za...