Wanasiasa 47 ikiwemo wabunge, na maafisa nchini Iraq wamekamatwa kufuatia msako mkali uliofanywa alfajiri na vikosi maalum vya usalama katika mji mkuu, Baghdad.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Serikali, miongoni mwa waliotiwa mbaroni siku ya Jumapili ni wabunge ambao kinga zao za kibunge...