McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wanasiasa 47 ikiwemo wabunge, na maafisa nchini Iraq wamekamatwa kufuatia msako mkali uliofanywa alfajiri na vikosi maalum vya usalama katika mji mkuu, Baghdad.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Serikali, miongoni mwa waliotiwa mbaroni siku ya Jumapili ni wabunge ambao kinga zao za kibunge zilikuwa zimeondolewa, pamoja na maafisa ambao majina yao yalitawala katika ushahidi na maungamo yaliyotolewa hivi karibuni.
Msako wa Alfajiri:
Watuhumiwa walikamatwa siku ya Jumapili alfajiri na vikosi maalum vya ulinzi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad. Miongoni mwa waliokamatwa ni wabunge ambao kinga zao za kibunge zilikuwa zimeondolewa.
Agizo la Waziri Mkuu Mpya
Hatua hii ni sehemu ya msako mkubwa dhidi ya mafisadi ulioagizwa na Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Ali al-Zaidi. Kiongozi huyu ameahidi kumaliza tatizo la rushwa na ubadhirifu ambalo limeisumbua nchi hiyo kwa miaka mingi.
Inaarifiwa kuwa watu hawa wamekamatwa kutokana na ushahidi na siri zilizotobolewa na Naibu Waziri wa Mafuta, Adnan al-Jumaili, ambaye naye alikamatwa mwezi uliopita kwa ufisadi.
Mpaka sasa, mamlaka zimekamata kiasi cha Dola milioni 86 (takriban shilingi bilioni 220 za Kitanzania) taslimu zinazohusishwa na kesi ya al-Jumaili
====================================
Several Iraqi politicians, lawmakers and officials have been arrested on corruption charges, Iraqi state-run media report.
Among the suspects detained on Sunday during dawn raids conducted by elite security forces in the capital, Baghdad, were officials whose names were mentioned in confessions
Also arrested were members of parliament “whose immunity had been lifted”, a security source told the Iraqi News Agency. The arrests were made as part of a wider anticorruption crackdown reportedly ordered by Iraq’s new prime minister, Ali al-Zaidi.
There has been no official statement from the Iraqi government or security forces about the arrests, but a member of the Al-Azm Alliance, speaking on condition of anonymity, told Al Jazeera that Muthanna al-Samarrai, the head of the alliance, was detained.
His office manager was also arrested during a raid on al-Samarrai’s residence inside Baghdad’s Green Zone.
Arrests were carried out by the Counter Terrorism Service and were based on statements provided by Adnan al-Jumaili, deputy oil minister, after his arrest last month on corruption charges, a source said.
Al-Zaidi has pledged to fight corruption and mismanagement that have plagued Iraq for decades.
Authorities have seized about $86m in cash this month, allegedly as part of the corruption case against al-Jumaili.
The Associated Press news agency reported, citing a security agency report, that seven people were arrested on Sunday, including five members of parliament.
AP reported that some of those arrested were from the political bloc of former Prime Minister Mohammed Shia al-Sudani.
Source: Al Jazeera