Mimi ni dereva bajaji, wiki iliyopita Kariakoo ilinifundisha somo chungu kuhusu uonevu ambao hauzungumzwi kwenye runinga au Media.
Ilikuwa mchana wa jua la utosi wakati naingia Kariakoo, nikiwa na abiria wangu, nilielekea kwenye duka moja ambalo mbele yake kuna eneo lililotengwa rasmi kwa ajili...