Wabunge waache huu utaratibu wa kufuturishwa kule Dodoma, Bunge linazidi kuwa too low sana, Juzi niliona Benki ya CRDB inawafuturisha, sasa chukulia kwamba Benki ikajikuta kwenye kashifa kubwa za pesa, hawa Wabunge wataanza kuona aibu ya kuishughurikia kisa inawafuturishaga.
Vipi na Majaji na...
Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza.
Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara, imemfikisha Mahakamani, Hakimu Mkazi wa Mtwara, Mussa Esanju kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kiasi cha Sh. 50,000 kutoka kwa Mtuhumiwa mmoja aliyefikishwa mbele yake.
Hakimu Mussa amefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa...
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, David Abel amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea Rushwa ya Sh100,000.
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 6, 2023, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes amesema...
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia na wananchi wanampongoza awamu ya sita Kwa kuwaachia matajiri; lakini tujiulize NI maskini gani...
Katika pitapita yangu nimekuta walimu wa Sekondari halmashauri ya wilaya ya Masasi wakibadilishana mawazo lakini katika hali ya kulalamika kuwa kuna kiongozi mmoja ndani ya idara ya Elimu Sekondari hana utu.
Nilitamani sana kujua ana matatizo gani hasa, yafuatayo yalibainishwa kuwa ndiyo...
Hii kitu tatizo nini au mishahara wanayolipwa ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi hela ni kidogo au inakuaje?
Hivi kutoka Tabora mjini mpaka Nzenga check point zipo Zaid ya Tatu na zote hice wanatoa pesa.
But hili ni janga wahusika mlitazame kama dharula halafu RUSHWA yenyewe ni buku 2.
Kila mwananchi ana wajibu wa kupambana na rushwa katika jamii. Rushwa ni tatizo kubwa katika nchi nyingi duniani na huathiri maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ni jukumu la serikali kuhakikisha kwamba inaunda na kutekeleza sheria na sera za kupambana na rushwa, lakini kila mmoja wetu ana...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie.
Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
''Askari ambaye anapokea rushwa hiyo tabia ametoka nayo kwenye malezi na wananchi ndio wamekuwa wakichochea polisi kuchukua rushwa'' - Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Je kweri wananchi ndo wanachochea polisi kuchukua rushwa.
Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa.
Kwa mfano, ripoti ya...
Watu wanaonufaika na rushwa na ufisadi wanaonekana kujivunia kwani wanapata pesa nyingi kwa muda mfupi tena bila hata kutokwa na jasho. Ubaya zaidi ni kwamba wanaojihusisha navyo wanaweza kupandishwa vyeo na kupata fursa nzuri zaidi kuliko wengine. Hali hii inanaendelea kuaminisha wengi kwamba...
Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria.
Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu.
Mabasi yanayotoka...
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.
Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
Chama cha walimu Tanzania kinafanya mkutano wake mkuu tarehe 17 Machi 2023 Jijini Tanga haya yakiwa ni maamuzi ya mkutano mkuu wa kikatiba uliofanyika Disemba 2022. Pamoja na mambo mengine lengo ni kumchagua naibu katibu mkuu baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Japhet Maganga kupandishwa ngazi...
Habari!
Hali ni mbaya sana.
Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma?
Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
Nimetafakar san jambo hili lakini binafsi sioni jitihada wala nia ya dhati ya kukomesha ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma!! Hivi kwel tunaona tume zikiundwa mara vikosi kazi! Je kwann haviundwi vikosi kaz vya kuchunguza ufisadi, na rushwa?
Tumeona report nying za CAG mpaka kuweka waz...
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.