rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  2. R

    Watu wanakula rushwa na kuuza mali za umma tupo kimya, Gozibeth kuchoma gari lililochakaa mnajidai wazalendo na mna uchungu; Unafiki

    Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha. Kuna baadhi ya wanafiki wamekwenda kutafuta na kifungo cha maisha kwenye sheria kama adhabu wanayotamani apewe. Baadhi...
  3. T

    Afisa wa shirika la umeme Kenya akamatwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma ya rushwa ya Tsh Milion 5.7 ili kumuunganishia tena mteja umeme

    Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu. Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya (KPLC) kwa tuhuma za kudai Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme...
  4. A

    DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  5. Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

    My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
  6. Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro,wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  7. M

    Kwakuwa anatoa rushwa na rushwa haimpendezi Mungu natangaza kwa Jina la Yesu Mbowe hashindi huu Uchaguzi labda kama Mimi sisali kwa Bulldozer Mwamposa

    Anaandika Mjumbe wa Mkutano Mkuu === "Mbowe na wote wanaogawa rushwa natangaza kuwafuta katika Ulimwengu wa Kiroho na natangaza hawatashinda wale wote wanaogawa rushwa. Natangaza Lissu & Heche kwa sababu ya haki Watashinda kwa kura nyingi sana Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa haki. Nataka...
  8. Pre GE2025 Lissu ukishinda Uenyekiti CHADEMA Taifa pitisha Ubatizo wa utakaso kwa Wala Rushwa wote ndani ya chama...

    Mpo salama! Ni hakika Kesho Lisu anashinda. Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo. Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa. Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe...
  9. Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  10. WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  11. N

    Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

    Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje? Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
  12. Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  13. R

    Lissu utalinda heshima gani ya Mbowe aliyobakiza ambaye umemdhihaki kwa kumuita mla Rushwa, msaliti wa chama, hafai kuongoza etc etc?

    Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni! Nani akuamini? c&p Guilty consciousness is haunting you Lisu! A guilty conscience...
  14. Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

    Mambo yamezidi kuchangamka! Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA ========== Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya...
  15. Kunani Mbowe hakemei kabisa Rushwa katika kampeni zake?

    Mimi toka nianze kumsikiliza Mbowe katika kampeni zake sijawahi kumsikia akikemea rushwa. Hii inatupa picha gani ndugu wadau?
  16. Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  17. Tetesi: Martin Maranja ndiye anayegawa rushwa kwa Wajumbe kwa niaba ya kambi ya Mbowe

    Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe. Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
  18. Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

    Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi. Trafic hajawahi...
  19. DOKEZO Naomba TAKUKURU iwachunguze Viongozi na Wafanyakazi wa NSSF Dodoma maana binafsi nahisi Kuna viashiria vya Rushwa

    Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao KAZI kwa muda mrefu takribani Miaka 15+ kwa mkataba mfupi mfupi mpaka pale wao (DCT) walipoamua...
  20. Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…