Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1.
Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO.
Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono...
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.