ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. Corruption, bullying, undermining Ruto: 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone

    Corruption, bullying, undermining Ruto; 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone Deputy President Rigathi Gachagua will face his moment of truth on Tuesday afternoon when the impeachment motion will be tabled before Parliament. In a document seen by Citizen Digital, Kibwezi West MP Eckomas...
  2. S

    Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  3. UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

    Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata. Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa...
  4. Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  5. B

    Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
  6. K

    Ruto kampa live Raisi Samia na demokrasia fake

    Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano Niongezee hili la imani Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
  7. B

    Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida

    Hii clip inajieleza wazi: Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu? Kwanini Kila mtu asipewe haki yake? Kwanini kujipanga kupora haki za wengine? Kulikoni kujipanga kuchuma laana? Uporaji ni laana!
  8. Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  9. B

    Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto"

    14 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aWUM2rPAnoU Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto" Retired diplomat and veteran Tanzanian politician, Prof. Anna Tibaijuka, has warned that election observers often...
  10. Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
  11. B

    Rais Tinubu awaomba waandamanaji Naijeria kuwa amewasikia kwa sauti

    Hii ni kwa madai yale yale ambayo naye kama Ruto mapema alikuwa katupia masikio ya kenge: ---- President Bola Tinubu has told Nigerians protesting against a cost of living crisis that he has “heard” them as he called for the suspension of the demonstrations and an end to “bloodshed”, in his...
  12. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  13. Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  14. President William Ruto Names Second Batch of The Cabinet

    Ruto Names Second Batch of The Cabinet President William Ruto: The government will provide all necessary support for those affected by protests. ✅President Ruto: Police officers, their prison counterparts and other security agencies officers will start receiving salary increments this month...
  15. Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  16. Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
  17. U

    Rais Ruto atangaza Baraza la mawaziri awarejesha baadhi ya mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali President William Ruto has named his new Cabinet members nominees a week after announcing the dismissal of the entire cabinet save...
  18. Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

    Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi.. Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
  19. Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  20. Raila Odinga apinga wanaoshinikiza Ruto ajiuzulu Urais

    Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali. Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…