Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:
Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya
Mtangazaji wa Milele FM, Wilbroda, amemkosoa Rais William Ruto kuhusu namna anavyowasilisha hotuba zake, akimtaka kuacha kuwakumbusha watu mara kwa mara kuwa yeye ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu.
Katika kauli iliyomlenga Ruto, ambaye pia humtaja kama Baba Charlene, Wilbroda amehoji kwa nini Rais...
Mahakama Kuu nchini Kenya imetangaza kuwa agizo la Rais William Ruto la kutenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa walimu na maafisa wa polisi halina nguvu za kisheria, ikisema Rais hana mamlaka ya kubadilisha sheria zilizopitishwa na Bunge kupitia matamshi yake.
Katika hukumu iliyotolewa...
Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto mpya ya kisheria baada ya muda aliopewa na Mahakama Kuu kurekebisha uwakilishi wa kijinsia katika Baraza lake la Mawaziri kumalizika bila mabadiliko yaliyohitajika kufanywa.
Katika hukumu iliyotolewa Juni 30, 2026, Mahakama Kuu ilibaini kuwa Baraza la...
Rais William Ruto ametangaza kuwa uwanja mpya wa Raila Odinga International Stadium, uliojengwa katika eneo la Talanta Sports City jijini Nairobi, utafunguliwa rasmi Januari 5, 2027, huku mechi inayotarajiwa kuzikutanisha klabu za Bayern Munich ya Ujerumani na AFC Ajax ya Uholanzi ikiwa sehemu...
Ikulu imetangaza kuwa Rais William Ruto atatoa tangazo maalumu lililorekodiwa saa kumi na mbili jioni leo, Jumatano, Oktoba 28, 2026, kupitia mitandao yake rasmi ya kijamii.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu wa Habari wa Ikulu imetaja tangazo hilo kuwa muhimu, lakini haijaweka wazi...
Rais William Ruto ameahidi kutoa shilingi milioni 30 kwa kanisa la AIC Kasina, lililoko Mwingi Central, Kaunti ya Kitui, wakati wa ibada ya Jumapili, Oktoba 25, 2026.
Ahadi hiyo imeibua mjadala kuhusu michango mikubwa inayotolewa na viongozi kwa taasisi za kidini wakati Wakenya wengi...
Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya inalenga kuanza kusafirisha mafuta ghafi kutoka Kaunti ya Turkana kwenda katika masoko ya kimataifa ifikapo Desemba 2026, baada ya miaka 14 tangu mafuta hayo kugunduliwa.
Akizungumza Jumanne, Oktoba 20, 2026, wakati wa sherehe za Mashujaa Day katika...
Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alizungumzia tukio kati ya aliyekuwa Seneta mteule Gloria Orwoba na mjomba wake, mtangazaji mkongwe Fred Obachi Machoka.
Graphic hiyo, yenye tarehe Oktoba 11, 2026, inamnukuu Ruto...
Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alisema hana haja ya kujihusisha na siasa na kampeni za mapema kwa sababu ana kazi ya kufanya kwa Wakenya.
Picha hiyo, yenye tarehe Oktoba 15, 2026, inamnukuu Ruto akisema pia...
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake.
Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo.
“Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni.
Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
Rais William Ruto amemlenga Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, hadharani wakati wa Mkutano wa Kilimo na Mabadiliko ya Mifumo ya Chakula uliofanyika Jamhuri Grounds, Nairobi, akimtaka asikilize maelezo yaliyokuwa yakitolewa na afisa kutoka sekta ya ukulima na mifugo.
Katika video ya tukio hilo...
The Ugandan government has issued a stern warning to citizens against crossing into Kenya to participate in political or electoral activities ahead of Kenya’s 2027 General Elections.
The government cautioned Ugandans to respect Kenya’s laws and refrain from involvement in political activities...
Rais William Ruto ameongoza hafla rasmi ya kuweka wakfu na kukabidhi jumba la kumbukumbu la Raila Amolo Odinga (Raila Odinga Mausoleum) katika eneo la Kang’o ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya.
Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, Rais Ruto aliungana na Mama Ida Odinga kufungua...
The death of Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo and his wife, Lucy Muteke, in a helicopter crash has sparked a wave of conspiracy theories online, with some social media users questioning whether the businessman is actually dead, while others suspect political foul play or believe the...
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki katika ajali ya helikopta pamoja na mkewe na watu wengine, alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh trilioni 1.5 zinazodaiwa kuwa za Rais William Ruto.
Akizungumza wakati wa mkutano na...
Kenyan President William Ruto has thanked President Yoweri Museveni for what he described as his role in advancing investment discussions involving businessman Aliko Dangote.
Speaking at the event, Ruto credited Museveni’s “vision” for helping move the discussions forward.
“I want to thank our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.