Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...