Ruto hajajiunga NATO. Rais wa Marekani, Joe Biden, alitangaza kwamba Kenya itapewa hadhi ya kuwa "mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO" (Major Non-NATO Ally).
https://vm.tiktok.com/ZMr1wacyA/
Hadhi hii inaonyesha ushirikiano wa karibu na wa kimkakati kati ya Kenya na Marekani, lakini...