Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.”
Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...