Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir.
Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka.
Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu?
Pasco anaweza, kwa...
Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika.
Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao.
Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake.
Haya sasa, hata Kenya matatizo ya umeme yapo, lakini huwezi wasikia wanadharau nchi yao.
---
Katika hali isiyokuwa ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.