ruvu

The Ruvu weaver (Ploceus holoxanthus) is a species of bird in the family Ploceidae. It is endemic to eastern Tanzania.
Initially described as a distinct species by Gustav Hartlaub in 1891, it was synonymized with the eastern golden weaver (P. subaureus) by the majority of later authorities. However, critical morphological analysis in 2021 confirmed it as being a distinct species. It can be generally distinguished from P. subaureus by the darker brown eye of the male and the lighter lower mandible of the female.It has a very restricted distribution in Tanzania, being only found along the Ruvu, Wami, and Rufiji river basins. Several colonies are known from the vicinity of Morogoro.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    'Tuoge' sasa 'tusinuke' tena 'Vikwapa' na 'Naniliu' kwani 'Dawasatz' wamesema 'Maji' yameanza 'Kuongezeka' Mto Ruvu

    Hali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha. Chanzo: Dawasatz Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa...
  2. J

    Tatizo la Maji: Mto Ruvu hauna maji au ni matengenezo ya DAWASA?

    Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga Tatizo ni nini hasa? Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?! Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
  3. GENTAMYCINE

    Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa. Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es...
  4. 44mg44

    FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

    Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu. Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga. 90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote...
  5. mugah di matheo

    Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
  6. BARD AI

    Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Septemba 30, 2022

    DARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
Back
Top Bottom