Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu.
Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga.
90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote...