Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini.
Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.
Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi
Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41%
Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
Mkuu wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali za milegezo wilayani kwake na amemuagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi wilaya ya Nyasa, kuwakamata na kuwachukulia hatua wale wote watakao vaa mavazi ya namna hiyo.
Kauli...
Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko.
Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale.
Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
Habari wakuu.
Hapa nazungumzia ukubwa kwa kiasi cha maji yanayotiririka.
Hadi sasa nilikuwa naamini Rufiji ndiyo mkubwa, sasa nimekutana na takwimu zikisema mtiririko wa mto Rufiji ni kama wastani wa mita za ujazo 413 kwa sekunde. Wakati Ruvuma ni 475.
Sina imani sana na data hizi, kwa...
Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma
Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu
Kma unalipwa mshahara mfano 300000 Songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na...
Watu watano wamepoteza maisha mkoanii Ruvuma kwa muda wa siku 7 likiwemo la mwanafunzi a kidato cha kwanza Sekondari ya Mbinga wilayani na mtumbo la kucharazwa viboko hadi kufa. Kamanda wa Polisi Ruvuma Bw Joseph Konyo anawashikilia walimu 6 katika tukio hilo ambalo hakuwataja majina kwa ajili...
Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara.
Chanzo: ITV
Wanabodi,
Story ya "incest" iliyodumu kwa miaka 10 kati ya mama na mwanae huko Ruvuma, iliyoonyeshwa leo kwenye taarifa ya habari ya Star TV, its nothing but total "insanity"
Kwa nilichoshuhudia Star TV wamemhoji mama na mwanae, just by naked eyes utawagundua tuu kuwa wahusika wote wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.