Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema jitihada zinafanyika ili kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wanaoishi katika maeneo ya miinuko baada ya mtambo wa Mabatini kupata hitilafu.
Waziri Aweso ameyasema hayo, Julai 22, 2022 baada ya kutembelea kituo cha uzalishaji maji Mabatini...
Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake?
Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji.
Huku...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka.
Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa maji katika vizimba 14 Kati ya 16 jambo ambalo sio kweli.
Aweso amemsimamisha kazi jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.