ruzuku vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Serikali imetoa ruzuku ya TSh 13.17 bilioni kwa Vyama vya Siasa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025. Hatua hii imeendelea kusaidia kuimarisha na kuendeleza uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini. Aidha, Ofisi ya Msajili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Ruzuku ya CHADEMA ipo inayotokana na kura walizopata akina Halima Mdee na wenzake majimboni!

    Katika wale Wabunge 19 Wenye mgogoro na Chadema wako waliogombea kwenye Majimbo na walipata kura nyingi tu japo hazikutosha mfano Mdee, Kaboyoka, Bulaya, Jesca, Makamba, Mwaifunga nk na kwa Kanuni jumla ya kura za Wagombea Ubunge majimboni na kura za mgombea Urais ndio huingizwa kwenye formula...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

    Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF. Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa nini kiwemo kwenye Katiba Mpya? Mimi napendekeza Ruzuku ya Vyama vya Siasa iondolewe!

    Waziri wa Katiba na Sheria ameshapuliza kipyenga cha mchakato wa Katiba Mpya hivyo ni vema tukaanza kuchangia mawazo. Binafsi napendekeza Ruzuku ya vyama vya Siasa iondolewe ili vyama vijifunze Kujitegemea ili vikiingia madarakani visiwe Mchwa wa kutafuna Kodi za Wananchi. Toa mapendekezo yako...
Back
Top Bottom