Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameliambia Bunge kuwa amemuandikia barua Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG kuwa ripoti yake kuhusu mfumo wa mbolea ya ruzuku kuwa seva iko kwa vendor aliyetengeneza mfumo wa TEHAMA ni uongo.
Pia soma Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta...