ruzuku ya mbolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Nchimbi: CCM tutaongeza upatikanaji wa ruzuku ya mbolea vijijini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza ruzuku ya mbolea kwa wakulima, ikiwa ni mkakati wa kuongeza tija ya kilimo, kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha ya wakulima hususan wa maeneo ya vijijini mkoani Iringa. Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi...
  2. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Rais Samia kuzunguka Nchi Nzima kupiga Kampeni Uchaguzi Ujao. Fedha za Kampeni zipelekwe kwenye Ruzuku ya mbolea ili ishuke bei zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nashinda mitaani na wananchi wa matabaka mbalimbali,rika tofauti tofauti,makundi mbalimbali na watu wa kila aina . Ninafanya nao kazi na kuzungumza nao mambo yahusuyo Nchi yetu. Nashinda na watu wa chini kabisa huku. Nashinda na wakulima wakubwa kwa wadogo...
  4. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Serikali inapojizolea sifa kwa giza, Ruzuku mbolea ya tumbaku

    Wanajamvi Kuna jambo lisilofaa kuhusu ruzuku ya mbolea za tumbaku kwa msimu ulioisha. Serikali kupitia tangazo la TFRA la tarehe 29/12/2023 ilitoa mwongozo wa bei kwa mbolea za msimu huu kuwa ni chini ya 80,500 kwa mfuko. Wakulima wa tumbaku hata hivyo wakakatwa dola 63 kwa mfuko bei...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bashe amwandikia barua CAG kusema uongo mfumo wa ruzuku ya mbolea

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameliambia Bunge kuwa amemuandikia barua Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG kuwa ripoti yake kuhusu mfumo wa mbolea ya ruzuku kuwa seva iko kwa vendor aliyetengeneza mfumo wa TEHAMA ni uongo. Pia soma Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta...
Back
Top Bottom