rwanda air

The Rwandan Air Force (French: Force aérienne rwandaise) is the air branch of the Rwandan Defence Forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania RwandAir inabidi mjirekebishe. Malalamiko dhidi yenu ni mengi

    Wadau habari nimekutana na malalamiko yakihusu shirika la ndege la Rwanda kwamba ni wababaishaji sana katika safari zao Usalama wa mizigo ni mdogo pia ratiba zao hazieleweki Aidha huduma kwa ujumla ni mbovu abiria wanasumbuliwa mara kwa mara kupekuliwa kama wahalifu kubadilishiwa siti za kukaa...
  2. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

    1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian). 2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
Back
Top Bottom