Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus.
Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa.
Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa.
Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya...
Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki).
Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea....
Satellite imagery confirmed Russia...
Jameni ukizingatia gharama ya S-300 halafu zinapigwa kizembe hivi, hivi vita vimemuanika Mrusi vibaya sana, ameonekana udhaifu wake na kubakia na manyuklia tu.
https://www.newsweek.com/ukraine-destroys-russian-battery-s-300-air-defense-systems-military-1727462
The Ukrainian military released a...
Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine.
Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo pamoja na gari la komandi,tukio limetokea huko Zelenotropynske.
Tetesi zinasema Makombora ya HIMARS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.