saa

  1. Wakurugenzi Wapewa Saa 48 Kupeleka Benki Bilioni 2.4 Iliyokusanywa Kupitia POS

    WAKURUGENZI WAPEWA SAA 48 KUPELEKA BENKI BIL. 2.4 ILIYOKUSANYWA KUPITIA POS Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mhe. Deo Ndejembi (Mb) amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambazo zimekusanya mapato kupitia mfumo mpya wa TAUSI na hawajapeleka fedha benki kuhakikisha fedha...
  2. RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  3. Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

    Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume. Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500. Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda...
  4. M

    Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  5. Je ukitoka out unavaa saa gani?

    Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
  6. Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) latoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kutofanya kazi kwa Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Mawakala wa meli (shipping agents) hawafanyi kazi kwa muda wa Saa 24 katika siku saba (7) za wiki, Shirika la Uwaka wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa ufafanuzi. TASAC imesema kuwa Wadau wa Sekta ya Usafiri majini kupitia Kamati ya Maboresho ya Bandari...
  7. Hadi Jumamosi Saa 8 Mchana sijasikia TANZIA yoyote au Tukio la Kimajonzi USM Alger FC watakuwa Mabingwa CAFCC 2022 / 2023

    Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua. Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
  8. Ceasefire Sudan inaisha leo usiku saa tano,: Inawezekana Waamerika na Wasaudi watafanikiwa kuleta amani Sudan?

    Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani. Naona kama vile there is a glimmer of hope. Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African...
  9. Mama Mjamzito asota saa 15 bila huduma, kichanga chafariki katika Hospitali ya Zakhiem Mbagala

    “Kama isingekuwa uzembe na kuachwa kwa muda mrefu bila kupata huduma mtoto wangu angekuwa hai, wangenihudumia tangu asubuhi nilipofika yasingetokea haya. Zakhiem ni hospitali nzuri, lakini ina shida kubwa.” Hiyo ni kauli ya Nailath Lyezia, mkazi wa Mbande, Dar es Salaam anayelalamikia watoa...
  10. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate kesho atakuwa na press conference

    OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE PRESS CONFERENCE Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE ' MUDA: Saa 5 Asubuhi. MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA
  11. Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

    Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo... Maombi yenu please nipate ahueni mapema.. Ahsante..
  12. Taa za sanamu maarufu "kristo mkombozi" zazimwa saa moja kumsupport vinicius junior

    Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na Mchezaji Vinicius Jr aliyefanyiwa Vitendo vya Ubaguzi huko Spain. Pia wachezaji mbalimbali kama...
  13. Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  14. Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  15. LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  16. Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
  17. Majeshi yakubaliana kusitisha Mapigano kwa saa 72 nchini Sudan

    Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani. Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
  18. P

    Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni. Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ? Tutafikia...
  19. Update: Zinakaribia saa 24 Mbagala hakuna umeme.

    Wakazi wa Mbagala jana kuamkia leo hawana umeme na sasa ni saa 8:19 hawana umeme ni kasoro saa tatu zitimie saa 24 za Tanesco kutokuwa na umeme.
  20. Australia: Aweka rekodi ya kupiga ‘push ups’ 3,200 kwa saa moja

    Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022. Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili kufikia viwango vinavyohitajika kwa rekodi rasmi ya Dunia, akitakiwa kuuweka sawa mwili wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…