saa

  1. Mkyamise

    Anayesafiri kwa usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza na anatarajiwa kufika Mwanza walau saa 12 jioni

    Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza.
  2. Scars

    Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

    Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili. Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup. Kutokana na Quality ya NBC Simba...
  3. Wakili wa shetani

    Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  4. GENTAMYCINE

    Wakala Jasmine Razaq: Medical check up ya wenzetu walioendelea ni Masaa 8, ila hapa Tanzania ni Nusu Saa tu

    "Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania" "Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
  5. GENTAMYCINE

    Meneja wa Bangala: Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana Saa 8 Mchana atakuwa ameshasajiliwa na Timu nyingine

    "Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na kuacha Mchezaji. Hapa wanafanya uhuni kwakuwa wanajua kuwa Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana basi...
  6. S

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  7. R

    Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

    Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil 🇧🇷 JEFFERSON LUIS kwa Mkataba wa miaka miwili. . Jefferson (29) maarufu kama Mikono ya Sumaku anatua Simba kushindania namba na Aishi Manula aliye majeruhi.
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc hatujamaliza, Saa 7 tunasambaratisha kila kitu

    Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
  10. Scars

    Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

    Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini? Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping. Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa. ************** Update 16:30 Simba imekamikisha...
  11. Raymanu KE

    Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

    Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo. Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia mwanamke wake ndege wakati yeye mwenyewe hata baiskeli tu Hana😂 Kama mshindo wa kwanza Ni mfupi...
  12. Nyendo

    Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

    Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku. Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema...
  13. GENTAMYCINE

    Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
  14. BARD AI

    Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

    Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42. Ash
  15. Restless Hustler

    Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu. Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
  16. Mtu Asiyejulikana

    Huyu ndiye yule au tumtazamie Mwingine? Saa ya Ukombozi ni Sasa

    Boniface Mwabukusi ameamua kupasua jipu, ameamua kumfunga paka kengele, ameamua kuvaa mabomu. Hataki kuuma uma maneno. Amechoka. Ananikumbusha Mch. Christopher Mtikila miaka ile ya 1990s. Huyu ndiye sauti ya Ukombozi? Napata maswali mengi sana. Je huyu ndiye tuliyekuwa tukimkongojea au...
  17. aka2030

    LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  18. BARD AI

    Doria ya Mabasi ya Abiria kufanyika kwa saa 24 Barabarani

    Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu. Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka huu na Waziri...
  19. U

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana. Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya 1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada...
  20. Li ngunda ngali

    Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
Back
Top Bottom