Wafanyabiashara na wasafirishaji wa Songea mjini wamegoma wakitaka kukutana na viongozi wa mkoa ili kutatua changamoto zinazowakabili.
Wafanyabiashara hao wamedai wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na mitaji yao inazidi kufa.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka...
Pelé, ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento, (alizaliwa Oktoba 23, 1940, Três Corações, Brazil), alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil, wakati wake labda ndiye mwamichezo maarufu zaidi na labda anayelipwa zaidi duniani kwa wakati ule. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya...
Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo.
Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
Asha Rajabu(28) mkazi wa kijiji cha Samanga Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amesimulia namna alivyorukishwa kichurachura na mwenyekiti wa kijiji hicho, kwa madai ya kuchelewa kufunga baa na kusababisha ujauzito wake wa miezi miwili kuharibika.
Mwenyekiti huyo, Wilfredy Minja kwa...
Sudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki
Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa Kazi Hillary Wani Pitia amesema kijiografia UTC +2 ndio sahihi kwa Sudan Kusini.
Nchi inaweza kuseti...
Najiuliza kama sheria inasema hivi, inakuwaje viraka vingine huwa vinaachwa kwa muda mrefu mpaka vinageuka kuwa mashimo makubwa yasiyopitika.. Mfano mzuri barabara ya Keko
=============
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB)...
Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.
Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua...
Jeshi la polisi mkoani Kagera, linamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baada ya uchunguzi ilibainika kuwa alimvunja shingo na uti wa mgongo.
Kamanda wa polisi mkoani Kagera...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
HAMZA KASONGO ON SUNDAY MAZUNGUMZO NA MOHAMED SAID KITARUDIWA JUMAMOSI 2 JANUARI 2021 SAA TISA MCHANA
Marudio ya "Hamza Kassongo on Sunday," TVE kitarushwa In Shaa Allah Jumamosi ijayo saa tisa mchana mada ni "Mchakato wa Uhuru."
Kipindi cha saa nzima tunazungumza historia ya kujikomboa kwa...
Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni.
Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
Habari za humu ndugu zangu,
Usiku wa leo nimepata jeraha baada ya kuchimwa na msumali mguu wa kushoto.
Msumali unakutu. Kitu cha kwanza nimefikiria kesho niende hospital kwa ajili ya sindano ya tetenus, lakini mwaka huu mwezi wa 7 nimechoma sindano ya tetenus mara mbili.
Je, kuna haja ya...
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi.
Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.