saa

  1. U

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  2. my name is my name

    Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

    Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka? Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
  3. B

    CCM itaongea na Wanahabari kuanzia saa 6 mchana huu

    Mkutano na Waandishi wa Vyombo Vya Habari Jijini Dodoma Leo.
  4. demigod

    Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  5. S

    Hivi Azam katika taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku huu, wameonyesha uwepo wa wakilishi wa Mabalozi wa Nchi za nje?

    Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi. Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
  6. K

    Saa za Afrika ya mashariki

    Saa za Africa ya Mashariki. Re: The misconception of the age of a day within {saa za Africa Mashariki.} A day has 24 hours; the natural number following zero is one. It being so, then, when does the above time start with zero hour? Universally; the new day is born at midnight: commencing with...
  7. Stephano Mgendanyi

    Kenani Kihongosi: Jumatatu 16.8.2021 kuanzia saa 3 Asubuhi nitakuwepo ofisi za UVCCM Upanga Jijini Dar

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATENGA MUDA WA KUSIKILIZA NA KUPOKEA MAONI NA USHAURI. KESHO JUMATATU 16.08.2021 SAA 3 ASUBUHI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATAKUWEPO OFISI NDOGO ZA UVCCM UPANGA DAR ES SALAAM VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA...
  8. beth

    #COVID19 Urusi yarekodi vifo 815 ndani ya saa 24 zilizopita

    Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo kwq siku ya pili mfululizo wakati maambukizi yanayotokana na Kirusi Delta Nchini humo yakiendelea kuongezeka licha ya jitihada za Mamlaka. Watu 815 wamefariki dunia ndani ya saa 24 zilizopita na idadi ya maambukizi mapya 22,277 yamerekodiwa. Urusi ambayo ni...
  9. Erythrocyte

    Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  10. Pelekaroho

    INAUZWA Wauza saa ⌚ tukutane hapa

    Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na...
  11. Miss Zomboko

    #COVID19 Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  12. S

    Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  13. M

    #COVID19 Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

    Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema “Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
  14. N

    Hee, kumbe kweli bwana; naona hapa saa hizi!!

    Inasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini. kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana...
  15. Analogia Malenga

    Uingereza yarekodi Maambukizi Mapya 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita

    Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19 Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
  16. FRANCIS DA DON

    Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

    Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa? Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
  17. Ibrahim K. Chiki

    Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
  18. Jemimah cindy

    INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  19. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  20. Tajiri Tanzanite

    Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

    Hapo vipi, Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi. Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana. Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa. Wataalam tafsiri yake nini.
Back
Top Bottom