Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Dar es Salaam, (DAWASA) imetangaza kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini uliopo Wilayani Bagamoyo kwa saa 36 Jumatatu 30 Januari 2023
Kwa mujibu wa DAWASA, lengo la uzimaji huo ni kusafisha mifumo yote ya Mtambo ikiwemo Machujo, Matanki yote ya Maji...