Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi.
Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...