Kila mtu na mapenzi yake apendayo.
Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya mtu binafsi. Hivyo, wakati unaamua angalia sababu hizi. Twende nyuma kwanza, zamani utajiri...
Sababu kubwa ya Simba kufungwa na RAJA ni kwa sababu uwanja wa MKAPA ulishikwa na UTOPOLO kiasi kwamba ushindi wa uto ulikuwa wa SIMBA. Wazee wa YANGA walifanya umafia uwanja ukalogwa sana.
So wana simba mechi ijayo ya SIMBA nyumbani dhidi ya Vipers tujiandae kisaikolojia tena kwa sababu Yanga...
Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :-
1. Athari za janga la Uviko-19
2. Athari za vita ya Ukraine
3. Mabadiliko ya tabia nchi
4. Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kupanda kwa gharama za maisha imesababishwa na kupanda kwa mfumuko wa bei duniani na ndio maana...
Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili.
Kitilya, Shose...
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....
Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.
1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo.
Amesema Serikali ilisaini mikataba 15 ya kuwezesha umwagiliaji na kuhoji nani atafaidika na fedha hizo wakati tayari Mawaziri wamefuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.