Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.
Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya.
Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi...
Ninaombatu kuuliza kwamba kutokana na kuripotiwa kuvunjwa haki za binadamu na Utawala Bora.
Je, hakuna mamlaka ambayo ilitakiwa kumuwajibisha Sabaya hata kabla ya Rais?
Maovu ya Sabaya yalijulikana kama rushwa, kupora, kuharibu mali na biashara za watu, uvamizi kwenye hoteli za watu nk.
Kama...
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.
Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa...
Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi.
Mienendo na...
Hii ni kasi ya 5G kwa kweli.
Leo ukienda Lumumba mabosi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai.
Ukienda Hai ndio hivyo tena ukimuulizia DC Ole Sabaya unaambiwa kwa sasa Boss wetu ni DAS.
Eid Mubarak!
NIZUNGUMZE KIDOGO JUU YA OLE SABAYA.
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Sabaya kupisha Uchaguzi juu ya tuhuma zinazomkabili.
Kwanza tujue kuna tuhuma na kuna hatia. Tuhuma zikibainika ndipo inakua hatia, lakini kwa...
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa.
Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu...
Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli...
Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO...
Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI..
Katika video hii...
Kwa ufupi sana.
Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji.
Kwa mambo ambayo alikuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani wake leo hii angekuwa hai alitakiwa kuondolewa kwenye urais na...
Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.
Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.
Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli...
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.
Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.
Kwamba mnataka upande wa...
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa
Rais Samia tafadhali hakikisha...
hadharani
haki za binadamu
kukamatwa
magufuli
makini
makonda
mashitaka
ole sabaya
paul makonda
rais samia
sabaya
serikali
takukuru
tuhuma
utawala
utawala bora
Maandiko yanasema muuaji na mtesaji kwa watu wasio na hatia damu hizo zitawalilia mpaka kizazi cha nne, Sabaya ni kizazi cha kwanza cha utesaji akirithi kwa Baba yake.
leo 25-11-2022 Sabaya " Mussolin" anaendelea kunyea ndoo gereza la Karanga, na hataki kutubu kwa watu aliowatesa na kupora mali...
DC OLE SABAYA ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai inasemekana shutuma zote ni za Uongo.
Ikumbukwe Sabaya alikuwa UVCCM Arusha na alikuwa anajifanya ni TISS kama ambayvo Happi amekuwa akiongopea kabla hajapewa madaraka.
Sabaya ni mtu mwema sana, amefanya mengi mazuri ya kuigwa na Wakuu wa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo.
Pia soma:
Mtozi Alloyce...
LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA:
Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
Awamu ya tano imelalamikiwa sana kuhusiana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watu.
Pana watu wengi wameuwawa, wamepotezwa na wengine wamejeruhiwa. Wapo ambao wamefilisiwa, wamenyanyaswa, wako magerezani au mikononi mwa dola hadi sasa kinyume kabisa na utaratibu.
Wapo waliokuwa na dhamana za kutoa...
Habari wakurugenzi..!
Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya.
Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha zina ukakasi yaani zinaweza zikawa sio shutuma za kweli juu yake bali za kupika.
Ukiangalia utaona...
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.