Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.
Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23...