sadc

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Hivi SADC imewahi kufanikisha nini kwa watu wake, kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa mtu wa kawaida

    Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano ya mafanikio ambayo yametokana na kusanyiko hili kwa masikini wa nchi zao. Au ni mkusanyiko wa...
  2. The Sheriff

    Elias Mpedi Magosi, mrithi wa Dkt. Stergomena Tax kiti cha Ukatibu Mkuu wa SADC

    Elias Mpedi Magosi Elias Mpedi Magosi ameidhinishwa kukalia kiti cha Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akimrithi Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Mtanzania aliyehudumu nafasi hiyo tangu mwaka 2013. Dkt. Tax ni mwanamke wa kwanza kabisa kuiongoza SADC katika...
  3. Roving Journalist

    Dkt. Stergomena Tax amaliza muda wake SADC

    Dkt. Stergomena Tax akiwa na mrithi wake Bw. Elias Mpedi Magosi, raia wa Botswana Katibu Mkuu wa nne wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Dkt. Stergomena Tax amemaliza muda wake Dkt. Stergomena alichukua nafasi hiyo September 2013 na ameaga rasmi Agosti 2021 Elias Mpedi Magosi...
  4. Lycaon pictus

    SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

    Habari wakuu. Naomba kujuzwa faida za SADC kwa nchi yetu.
  5. SN.BARRY

    SADC imetia aibu Msumbiji

    Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka. Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa...
  6. Liverpool VPN

    Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  7. Sam Gidori

    SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  8. Analogia Malenga

    Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
  9. TheDreamer Thebeliever

    Nilichostaajabu wakati nakula bata nchi za SADC

    Habari wadau. Tutaongea sana ila amini usiamini viongozi wetu ndio wachawi ndio wanaotufanya vijana wengi tusifanikiwe kwa vitu vidogo vidogo tu ambavyo wanatubania. Kipindi cha mzee wa RUKSA kila kitu kilikuwa RUKSA ndio maana yule mzee Mungu amemjalia maisha marefu sana,sababu alikuwa...
  10. rosemarie

    Tukatae Wakenya kusafiria passport zetu nchi za SADC

    Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi. Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja. Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya...
  11. MIMI BABA YENU

    SADC yamuunga mkono Rais Dkt Magufuli ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme Rufiji

    Ujenzi wa mradi wa umeme katika Mto Rufiji umetajwa kuwa wa mfano katika nchi za SADC na nchi wanachama wa Afrika Mashariki wa EAC, kutokana na namna Serikali ilivyoamua kuusimamia. Akizungumza katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar leo na Wanahabari ...
Back
Top Bottom