Habari zenu
Naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?
Nawasilisha
Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari.
Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni.
Mbona majambazi wanayakamata kila siku?
Miaka 16?
Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical.
Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
Moja ya vitu vilivyokuwa vikinivutia enzi hizo nikiwa nasoma,ni uhandishi wa habari za uchunguzi ULIOKUWA unafanywa na Said Kubenea KUPITIA GAZETI lake la Mwanahalisi.
Nakumbuka enzi hizo nikiwa nafanya field Kwenye ofisi za GAZETI la Mwanahalisi pale kinondoni nawakumbuka washikaji fulani...
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.
Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya...
Ndiyo maana wengine mnapigwa Kofi na Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi Maishani mwenu ila hamtaki Kujifunza na hata 'Kutubu' kwa Muumba ili awasamehe.
Ni Matumaini yangu makubwa kuwa Hela mlizohongwa ili mbadilishe Maamuzi ya Kisutu zitawafanya mkajitibie 'Magonjwa' yenu mbalimbali ukiwemo ule wa...
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .
Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2.
Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
Nilijua Kubenea ni Bonge la Mwamba
Kumbe Mlaini tu
Chozi Alilomwaga Kashindwa Hata Kumalizia Shukrani Zake kwa Waandishi Wenzie wa Habari Waliojitoa Kumkomboa
Kweli Sheria ya Utakatishaji Noumer[emoji119]
====
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo imemuachia kwa dhamana Mgombea Ubunge wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana
Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA
Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo.
Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho...
Amani iwe nanyi.
Leo wakati akichangia bajeti bungeni mbunge wa Ubungo kupitia chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) Saed Kubenea amewaonya wote wanaoitukana serikali na kuwataka watambue dhamana kubwa walizopewa na wananchi za kuwa wabunge.
Saed Kubenea ametolea mfano kuna baadhi ya...
Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA
Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili.
Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
Aidha Mkataba huo haukujadiliwa na Kikao cha Makatibu Wakuu ambacho kinaongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi wala kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho mwenyekiti wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Makala ya Saidi Kubenea kupitia gazeti lake la Mwanahalisi, alisema Waziri...
MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).
Hili limetokea muda mfupi baada ya vyama vinavyounda Muungano wa Kutetea Katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.