saed kubenea

Saed Ahmed Kubenea is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. He was elected MP representing Ubungo in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Candid Scope

    Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    AUSAMBAZA KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKE WA KARIBU NAIBU Waziri wa Ujenzi anayeugua ugonjwa uliozusha utata mkubwa serikalini, Dk. Harrison Mwakyembe, ameandika waraka mahususi unaoeleza kile anachokiamini kuwa ni chanzo cha ugonjwa wake, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Waraka huo ambao...
  2. Weston Songoro

    Kwanini Saed Kubenea na Absalom Kibanda wanaweweseka baada ya taarifa ya kutimuliwa Lowassa CCM?

    Bandugu, natumai kuwa hamjambo na mko vema baada ya kuadhimisha Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika ilifana sana. Wakati wa mapumziko ya weekend na Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilisikika taarifa kuwa Kamati Kuu ya CCM ambayo inaketi leo Zanzibar katika kikao chake cha...
  3. S.Liondo

    Saed Kubenea yuko wapi?

    Mwenye taarifa kuhusu alipo Saed Kubenea ambaye amekuwa mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi kwa muda mrefu tafadhali anijulishe. Mimi ni mpenzi sana wa articles zake za kisiasa katika Gazeti hilo. Kama anafanya na gazeti lingine tafadhali naombe Kujuzwa ili nifuatilie habari anazoziandika.
  4. menny terry

    CV ya Saed Kubenea, Joster Mwalugumbi na Kondo Tutindaga

    Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia Tanzania. Ameweka maisha yake rehani kwa ile...
  5. Mtu wa Pwani

    Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/- Na Mwandishi Wetu SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, amedai watuhumiwa waliahidiwa kulipwa sh milioni mbili na bosi wa Kampuni ya Bakhresa, endapo...
  6. Halisi

    Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

    Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye. =========== Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
Back
Top Bottom