safari yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nipo online

    Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  2. Magical power

    Safari yangu ya Betting!

    SAFARI YANGU KWENYE BETTING! Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale pale kuwa sikutarajia kukuona upo side hiyo😂 aliishia kucheka. akanitania kwa kusema ananipa 2months...
  3. LA7

    Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  4. P

    Safari yangu ya mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana. Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

    Heshima kwenu wakuu! Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa... Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza saa2:30. Gari ilikuwa na changamoto kadhaa hasa kuharibika na Hadi kufika saa9 arasiri nikawa nimewasili...
  6. H

    Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection. Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
  7. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Habari za muda huu wapambanaji Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya, nina visa vingi sana, nitajaribu kufupisha na namna gan nilivo chukua maamuzi magumu ya kupima...
  8. M

    Safari yangu ya kuacha punyeto.

    Jamani hamjambo? Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo. Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as...
  9. Mohamed Said

    Safari Yangu Pangani Kutafuta Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith

    Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion." Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
  10. K

    Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje wakubwa?
  11. stakehigh

    Safari yangu ya kutafuta maisha mjini

    Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life) Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
  12. DR HAYA LAND

    Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

    Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi Mpole ambaye haongei Sana Msafi wa Mwili roho na Matendo Mwenye haiba ya uanaume (masculinite ) Mwenye Akili za kujiongoza yeye na...
  13. All about Tanzania life

    Safari yangu kutembelea Mwanza jiji la miamba

    Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu. Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

    Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by...
  15. Heparin

    Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1 Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro. Safari yangu imeanza...
  16. All about Tanzania life

    Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu. Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
  17. L

    Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  18. Pang Fung Mi

    Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

    Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati. Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
  19. BARD AI

    Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  20. BARDIZBAH

    Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
Back
Top Bottom