safari yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Safari yangu ya kijijini

    Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:- Vijana wamepungua vijijini Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana. Katika mita sq 2000 naweza...
  2. Justine Marack

    Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    . Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi. Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
  3. Melki Wamatukio

    Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

    Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana. Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na...
  4. Jamhuri ya Zanzibar

    Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  5. DR HAYA LAND

    Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  6. Rabonn

    Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
  7. Mr sule

    Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

    Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku. Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kuwa mjasiriamali ni moja...
  8. Determinantor

    Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Habari za wakati huu, nimeona niwashirikishe kidogo Wazee wenzangu wa Road trip haka kamsafara kangu kadogo. Nilipanga kuwa mwaka huu nizunguke kwa gari baadhi ya mikoa, LENGO ikiwa ni kupunzisha ubongo tu na kujionea huko kwingine...LENGO ilikua nianzie Dar-Lindi-Songea-Njombe-...
  9. Midnight

    Safari yangu ya dhahabu Botswana - Sehemu ya pili

    "Itakuwa furaha Sana kwangu Kama mods mtauacha huu uzi hapa hapa na sio kuunganisha na ule wa sehemu ya kwanza... Natanguliza shukrani kwenu na kazi iendelee kwa pamoja tukiwa Kama Wana jamuhuri wa jamuhuri tukufu ya muungano wa Tanzania, Mungu ibariki Tanzania." Kwanza kabisa napenda...
  10. Lameckjr

    Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  11. mapipando

    SoC01 Safari ya Maisha yangu

    Nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya themanini katika hospitali ya Mwananyala iliyopo wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salam.Mimi ni mtoto wa kwanza na pekee wa kiume kwa mama mwenye watoto 3. Baada ya wazazi wangu kutofautiana waliachana na mama akaanzisha maisha yake Kurasini na baba akabaki...
  12. majumba 6

    Safari yangu ya kwenda Burundi imeiva

    Twenzetu burundi...!
  13. V

    Ulaji wa Panya mikoa ya Kusini: Safari yangu ya siku 37 ilivyonifungua mambo mengi

    Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache. Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
  14. Aigle

    Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

    Kama ambavyo awali nilikwisha jitokeza kuomba 'Connection' ya mtaalam au wataalam wa ndagu za utajiri au utajiri wa nguvu za giza. Nasikitika kusema kuwa bado sijapata haswa sehemu ambayo mhusika anaweza kunishika mkono kunipeleka au kuwa kama 'Godfather' kuniinguza katika ufalme huo wa giza...
  15. Analyse

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...
Back
Top Bottom