kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...
Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu.
Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee.
Sababu za Kimaandiko:
Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani
1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani."
Yesu...
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ),
Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa
Wilaya Bagamoyo
Wilaya kibaha
Wilaya chalize...
kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT??
Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi labda ya 250k au ni bora uwekeze kwenye UTT in which ina return ya labda 1% per month ambayo ni kama...
Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?
Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
Hivyo kufunga...
Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto
Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
Evelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or just a tough lady
😂😂 Ila Pia haituhusu mambo private ya watu
Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia
"Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela"
Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa...
1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki.
2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa
Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.
Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku.
Kumbukeni huu ni uzalilishaji.
Leo hii mimi...
Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu?
Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako:
Kuanzia usajili na...
Huu uhuni tumeanza lini ?
Barua ya Katibu Kiongozi inatoka haina mhuri haina signature ?
Unajua hata nzi ameamua kua mhuni tu ndio maana anasambaza kipindupindu lakiji angeamua kua na akili angetengeneza asali kama mwenzie nyuki. T
unaweza kuamua kua serious kidogo? Kidogo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.