Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.
Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa.
Hivyo hivyo kwa binti.
Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kitaadhimisha siku ya wanawake dunia tarehe 15/3/2023 kwa kuandaa kongamano litakalojadili masuala ya matumizi sahihi ya teknolojia, changamoto na faida zake kwa wanawake na jamii kwa ujumla...
Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.
Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ?
Umeingia...
Kwa mfano nimepigiwa na rafiki yangu nataka kumueleza nipo kwenye basi kwa kingereza ipi ni sentencing sahihi kati ya hizi.
Which is correct, “I am in the bus” or “I am on the bus”?
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara.
Matokeo ya taarifa hii ikawa ni tofauti kabisa.
Kulikuwa na jua kali licha ya taarifa yao. Nawashauri kuwa toeni taarifa iliyo sahihi ili wananchi...
Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii.
Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume...
Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku.
Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
Kipindi cha uongozi wa Kikwete nchi ilikuwa na mwelekeo wake hali kadhalika kipindi cha Magufuli kulikuwa na mwelekeo mwingine mpya ambao nadhani kila mtu ulimuweka katika mazingira ambayo hakuyazoea
Kipindi cha JK, mafisadi waliogopewa kuguswa kwa sababu ya serikali kuhofia kuwa nchi itayumba...
Ni Jambo la kusikitisha na la hatari sana kwenye utawala wa sheria katika zama hizi za upotoshaji wa kimtandao “misinformation era” Teuzi na tenguzi au maTangazo ma kubwa yanayohusu mustakabali wa nchi tunajulishwa kwa barua za msemaji, binafsi nilitegemea liwe Tangazo la serikali “government...
Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo.
Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje?
Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.