sahihi

  1. T

    Goodluck Gozbert kiroho yupo sahihi kuchoma gari soma hii.. 1Sam15-20

    Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri. Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk. Ndugu...
  2. Je mlalamikaji yupo sahihi??

    Habari za muda huu wana JF?? Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na kukuta Redio ikiwa inaimba kwaya Kanisani hapo pasipo kuwa na mtu ndani. Muumini huyo amelalamikia na...
  3. Lisu na Mbowe, Angalizo - Wakati sahihi kuingia, wakati sahihi wa kutoka,

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia...
  4. K

    Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa letu ila Taifa letu Lina ushabaki wa wa upendeleo wa chama tawala

    Mwenyezi Mungu tupe Lisu awe Rais wa JMT
  5. Pre GE2025 Ni Mpango wa CCM CHADEMA kisiwe chama cha kitaifa, Ndio maana Mbowe kwao ni Chaguo Sahihi

    Mpo salama! Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa. CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
  6. Tujivue gamba ni wakati sahihi

    Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka.. Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale wanapojihisi wameanza kuzeeka na kuanza kupoteza nguvu ya kuishi kupitia mapambano ya maisha. Mchakato...
  7. Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  8. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?

    Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili. Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao.. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?? Ikiwa mtoto ama binadamu sote hatupati nafasi ya kuuliza kwanini tunazaliwa au...
  9. L

    China na Marekani zinatakiwa kushirikiana ili kutafiti mwelekeo sahihi kwa nchi mbili kubwa zenye nguvu duniani

    Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa ujumla, mwaka jana uhusiano huo umeendelea kuwa wa utulivu. Nchi hizi mbili zimefuata mwongozo wa...
  10. Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  11. Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

    Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
  12. Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  13. Pre GE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

    MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
  14. Msaada kuchagua mchumba sahihi kati ya hawa nitakaowataja

    Habari Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii. Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi Wapili ni...
  15. Je Lisu alitaka Kuhongwa nyumbani kwakeTegeta? au alipenyezewa taarifa za kutaka kuhongwa na Abdul?

    Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje. alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
  16. Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
  17. Q

    Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

    Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self. Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa...
  18. Je ni sahihi kwa taifa 'takatifu' kuongozwa na kulindwa na Marekani taifa chafu kuliko yote?

    Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani. Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
  19. Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

    Uamuzi wa kumuacha Cloutu Chama ulipokewa kwa hisia tofauti na washabiki wa Simba,hata uamuzi wa kumsajili Jean Charles Ahoua kuwa mbadala wake ulipingwa na wengi ikizingatiwa hata aina ya uchezaji wa Ahoua si ya kuburudisha kama ile ya Chama. Lakini hadi sasa Ahoua akiwa amecheza mechi 10 tu...
  20. Kipimo sahihi cha CHADEMA sio CCM

    Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…