Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye mechi dhidi ya timu bora kiasi gani? Mtibwa sugar ilikuwa timu mbovu sana kwenye msimu, hivyo...