saida karoli

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  2. Seawhale

    Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  3. Farolito

    'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

    Wakuu habari zenu, Katika wimbo wa Saida Karoli unaoitwa Maria Salome' kuna mashairi yanasema 'Khalidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu, Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu wajinyonge' Sasa Khalidi na Filimoni walipendana mapenzi ya namna gani hayo yakadumu? Hao wote si ni...
Back
Top Bottom