Beki wa Chelsea Antonio Rudiger anaonekana uwezekano wa kuondoka klabuni hapo bure msimu wa joto, kwani ameshindwa kukubaliana na mkataba mpya.
Rudiger, 28, anaripotiwa kutaka kiasi cha pauni 220,000 kwa wiki kusalia Stamford Bridge, huku ofa ya klabu hiyo ya pauni 140,000 kwa wiki kurekebisha...