Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
Ubalozi wa Tanzania nchini India umetoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania, Sayuni Eliakim aliyedaiwa kushindwa kusaidiwa ubalozini hapo kupata hati ya kusafiria ili arudi Tanzania.
Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya...
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa...
Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari.
Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka...
I
Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa.
Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
Mwaka 2014 Tamko la Maaskofu Wakatoliki TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na Baraza la Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona CCM imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi.
Rais Kikwete akatumia hekima na busara za Walaka ule...
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.
Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.
Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.
Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini.
Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
Wakuu,
Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
Kwa ufupi
Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali...
1st Dot:
DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita.
2nd Dot:
DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa...
Nimekuta mahali mjadala mkubwa kuhusiana na kuondolewa kwenye nafasi zao Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athumani ikidaiwa kuwa kuna uhusiano na misimamo waliyokuwa wameweka kuhusu mkataba wa Bandari.
Baadhi ya...
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):
"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.