salah

  1. Labani og

    Mohammed Salah Farao anayejenga Pyramid kwenye ardhi ya Malkia

    Ni takribani kilometa 5,627 kutoka katikati ya mjini mkuu wa misri Cairo mpaka katika jiji kubwa la London pale nchini Uingereza hakika ni umbali mrefu lakini nani anajali kama unaenda kupambana kutafuta maisha. Alitokea katika ardhi yenye historia kubwa zaidi duniani ardhi yenye historia pia...
  2. C

    Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  3. M

    Mohamed Salah anazeeka vibaya

    Inakuwaje wanajamvi! Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
  4. Greatest Of All Time

    Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  5. mugah di matheo

    Mo salah tested positive for Covid19

    Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine
  6. The Boss

    Si Samata tu, kushindwa kucheza EPL iliwatokea hata KDB na Mo Salah

    Unless Samata awe umri ndo tatizo Lakini kushindwa au kuonekana kushindwa kucheza EPL imewatokea wachezaji wengi sana Wakiwemo hawa wanaotamba sasa EPL ..mo Salah na KDB.. Mchezaji akienda UK Kwanza wanakumbana na Baridi Kali zaidi ..kuliko nchi zingine za Ulaya..kama Spain n.k.. Pili ligi ni...
Back
Top Bottom