Hii nchi kuna shida ila wacha wakome maana shida ya watu weusi ukijipendekeza kama inakuwa kero kwao wakati wanashida ya kusaidiwa.
Watanzania tuna shida sana kwenye maisha ya hawa ccm akili kisoda,nfano jimbo analotoka mke wa mstaafu nikama sehemu ya choo chake ikifika uchaguzi na kuondoka...