Pia AMEFUNGIA Jamiiforums ili watu wengi wasiweze kusoma ulichoandika.“Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”- amesema Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga Mama Salma Kikwete
Soma pia
- GE2025 - Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa
- GE2025 - Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze
- PreGE2025 - Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe
Hana akili ya kupambana na lissu kwa hoja majukwaani...size yake ni akina mwajuma!Sawa nakubali Mama kafanya mambo makubwa sana hakuna aliyewahi yafanya.
Sasa anaogopa nini kufanya reform na Lissu amuache huko huko gerezani ila uchaguzi uwe huru na haki tuone nani mshindi.
Na bado wajukuu zake wote hawasomi shule za Samia 😂😭🤣🤣“Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”