Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa!
1. Kule husikii albino amechinjwa
2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi,
3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani
4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi
5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa...