Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.
Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya...