salim ahmed salim

Salim Ahmed Salim (Arabic: سليم احمد سليم‎, Urdu: سلیم احمد سلیم, Swahili: Salim Ahmad Salim, born 23 January 1942) is a Tanzanian politician and diplomat who has worked in the international diplomatic arena since the early 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  2. Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

    Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure. Kuna haja gani ya kumficha...
  3. Dkt. Salim Ahmed Salim ni Rais wa Tanzania ambaye haikuwa riziki

    DOKTA Salim Ahmed Salim, alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilikuwa kipindi cha uhaba mkubwa wa bidhaa. Nguo, viatu, sabuni, dawa za meno, vilikuwa adimu. Alikalia kiti baada ya kifo cha Edward Moringe Sikoine, aliyeendesha vita ya uhujumu uchumi. Mazingira ya...
  4. Picha Adimu ya Julius Nyerere, Salim Ahmed Salim na Ali Hassan Mwinyi 1980s

    Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed Salim na Rais Ali Hassan Mwinyi. Nyuma ya Dr. Salim Ahmed Salim ni Dr. Salmin "Komando" Amour...
  5. Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  6. Kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim

    Nimesoma kuhusu kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim. Hakika ni jambo kubwa sana kwetu na nadhani yeye ni wa kwanza kufanya kitu hiki. Mimi nilibahatika kukutana na Dr. Salim nyumbani kwake kwa kipindi kifupi. Dr. Salim alikuwa pamoja na mke wangu katika Tume ya Warioba ya Katiba siku hiyo...
  7. Salim Ahmed Salim alikuwa na nyota na alipendwa

  8. Dkt. Salim Ahmed Salim atimiza umri wa miaka 80. Mungu mpe maisha marefu

    Leo tarehe 23/01 /2022 Mzee Salim Ahmed Salim anatajwa kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake, hii ni baraka kubwa kwake na kwa familia yake. Sisi wengine tunamtakia heri ya siku hii mzee wetu huyu ambaye ni miongoni mwa Watanzania wachache WALIOILETEA HESHIMA NCHI YETU. FUNZO: UKIWA NA ROHO...
  9. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  10. Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

    Wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia, ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu mpaka ilipelekea Mzee Mwinyi atengeneze nafasi ya naibu waziri mkuu na nafasi hizo na ile ya wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…