Salim Ahmed Salim anabakia kuwa Waziri Mkuu pekee kutokea Zanzibar

Salim Ahmed Salim anabakia kuwa Waziri Mkuu pekee kutokea Zanzibar

Emilio Mzena

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
268
Reaction score
639
April 28 ya mwaka 1984 Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka pale Novemba 5 ya mwaka 1985 alipomaliza muda wake.

Anabakia kuwa Mzanzibar pekee kuwahi kushika madaraka hayo.

Ni takribani miaka 41 sasa tangu aliposhika madaraka hayo.

Je tunaweza kupata Waziri Mkuu mwingine kutokea visiwani kwa siku za usoni?

Tusubiri tuone
 
Sio sawa sasa, Raisi mzenji, Makamu inasemekana mzenji, Pm tena?
 
kwa vita ya sasa ya uzanzibari na utanzania bara ni ngumu sana ndoto hiyo kuwiva
 
Chezea Samia wewe,anauwa watoto wenu halafu anawachamba, na kumpa mwanawe na ukoo wake uwaziri,ikizingatiwa hana cha kupoteza... ila kwa Mwigulu wacha walibimbilise ni likatili sana lile jamaa, Mkumbuke Adhabu ya tozo mtumaji na mpokeaji kaileta yeye sijui kaitowa wapi duniani?? Waliondoe tu mbona kina Makamba wametolewa ktk mfumo.
 
Back
Top Bottom